shower

n 1 manyunyu. ~ (bath) n bafu ya manyunyu. 2 wingi, vitu vingi vinavyokuja mfululizo a ~ of stones mawe mengi a ~ of blessings baraka nyingi. 3 (US) tafrija ya kumzawadia mwali kabla ya kuwa bi harusi. vt,vi 1 ~ something upon somebody/~ somebody with something -pelekea/ tumia/miminia mtu kitu kwa wingi. ~ somebody with questions miminia mtu maswali/uliza mtu maswali mengi. 2 anguka kwa wingi; nyunyizia. showery adj (of weather) -a manyunyu ya mara kwa mara, -a manyunyumanyunyu.