show

n 1 kuonyesha. 2 maonyesho. on ~ -a maonyesho; maonyeshoni. 3 (colloq) burudani, tamasha. ~ business (colloq) ~ biz n biashara/ shughuli ya burudani. 4 (colloq) jambo, kitendo put up a good ~ fanya jambo vizuri, jitahidi, anisi a poor ~ jambo lililoborongwa. steal the ~ vutia watu wote good ~!; safi! (colloq) shughuli; biashara; Juma is running the ~ Juma anaendesha biashara hii. give the (whole) ~ away fahamisha watu mambo yote yanayofanywa au yaliyopangwa kufanywa. 5 (sing only; dated colloq use) nafasi, fursa ya (kujitetea) he was given a fair ~ alipewa fursa ya kujitetea. 6 sura, hali, dalili he did no toffer a ~ of resistance hakuonyesha upinzani. 7 maringo, ushaufu, kujionyesha He's fond of ~ anapenda kujionyesha. (compounds) ~ boat n mashua/ merikebu ya tamthilia. ~-case n sanduku la maonyesho; (fig) nafasi ya kuonyesha/kutangaza (agh. kitu kipya). ~-down n kuonyesha/ kutangaza nguvu/dhamira ya mtu; kupeana ukweli. ~-girl n mwanamke mchezaji. ~ jumping n onyesho la ustadi wa kuruka viunzi kwa farasi. ~ man n msimamizi wa/msimamia mipango (katika tamasha); mtafuta sifa (kwa kujitangaza). ~ manship n kujitangaza; uhodari wa kuvutia watu. ~ place n sehemu ya utalii. ~-room n chumba cha maonyesho (ya biashara ambamo sampuli za bidhaa huwemo). ~-window n dirisha la kuonyesha bidhaa. showy adj shaufu, -a fahari, limbwende, -enye kuvutia. showily adv. ~ iness n, vt,vi 1 ~ something (to somebody); ~ somebody something onyesha. 2 -onekana his delight ~ed in his face furaha yake ilionekana usoni pake. 3 ~ itself jitokeza, onekana. ~oneself hudhuria (mkutano sherehe n.k.). ~ one's face tokea hadharani/mbele za watu. ~ fight onyesha (dalili za) kuwa tayari kupigana. ~ one's hand/cards (fig) tangaza/dhihirisha nia ya mtu. ~ a leg (colloq) toka kitandani. ~ one's teeth (fig) onyesha hasira, ghadhibika. have nothing to ~ for it/something tokuwa na ushahidi wa kitu alichopata au alichojaribu kupata. ~ mercy on somebody onea huruma mtu. 4 elekeza. ~ somebody in/ into something/out/out of something elekeza mtu njia ya kuingia/ kutokea. ~ somebody over/around/round, something tembeza, zungusha mahala. ~ somebody the door amuru mtu aondoke na msindikize hadi mlangoni. ~ somebody the way eleza mtu njia ya kufuata; (fig) onyesha mfano. 5 fanya wazi; hakikisha; elewesha. 6 ~ somebody/something off onyesha kitu (ili uzuri wake utokeze vizuri). ~ off onyesha/tangaza (utajiri, ubora); belenga; ringa; ringia n mtu anayeringa. ~ somebody/something up eleza ukweli waziwazi. ~ up onekana waziwazi; (colloq) onekana, hudhuria. ~ wing n hali; picha; uonyeshaji, kuonyesha. on one's own ~ing kwa kukiri mwenyewe.