shove

vt,vi (colloq) sukuma,kumba, piga kikumbo, bimbirisha. ~ off anza kuondoka ufukoni (ukiwa ndani ya mashua); (fig) ondoka mahali (kwa fujo) push and ~ each other sukumana, buburushana. ~ aside sukuma kando kwa nguvu. n kumbo, kikumbo.