shoulder

n 1 bega, fuzi. put one's ~ to the wheel fanya kazi kwa bidii. ~ to ~ (fig) bega kwa bega. stand head and ~ above (others) zidi sana (kwa urefu, akili, uadilifu n.k.). straight from the ~ (fig, of rebukes, criticism) bila kuficha, waziwazi. ~ blade n jembe, mtulinga. 2 mabega, mgongo. have broad ~s weza kubeba mzigo mzito; (fig) weza kuchukua madaraka makubwa. ~-belt n mkanda wa begani. shoulder-high adj -a usawa wa bega. the snow was ~-high theluji ilifika mabegani. shoulder-strap n ukanda wa bega, mikanda inayo shikilia vazi begani. vt 1 chukua mabegani ~ a burden/the responsibility/beba mzigo/madaraka. ~ arms (mil) sogeza bunduki ikae wima mbele ya mkono wa kuume. 2 sukuma kwa bega, piga kikumbo.