shore
shore
1 n pwani, ufuko on (to, at, near) the ~ pwani go on ~) shuka pwani. off ~ mbali na pwani ~ leave ruhusa ya kushuka pwani/kutoka melini. shoreless adj sio na pwani/ufuko. shoreward adj -a kuelekea pwani adv kwa kuelekea pwani.shore
2 n gadi, shikizo, makwa. vt ~ something up gadimu, shikiza.