shock
shock
1 n 1 tita kubwa (la ngano).shock
2 n vunga. ~-headed adj -enye vunga/nywele matimtimu.shock
3 n 1 shindo, tetemeko; shambulio kali. ~-absorber n shokomzoba. ~-tactics n mashambulizi ya askari/ nguvu nyingi (katika vita); (fig)matumizi ya nguvu/maneno makali ghafla (ili kufikia lengo). ~-troops n kikosi cha mashambulio makali. ~-brigade; ~-workers n (USSR) wafanyakazi wa mitulinga. ~ wave n wimbi la kishindo/ kiatomiki. 2 (of electricity) mrusho, mshtuo. 3 mshtuko I was ~ed to hear nilishtuka kusikia. ~ treatment/therapy n tiba ya kushtua neva kwa umeme (au dawa). vt shtua. shocker n 1 mtu anayeshtua/ ogofya. 2 kitu kinachoshtu(sh)a/ ogofya. shocking adj 1 -a kuchukiza; -baya sana. 2 -a kushtua/ kutisha.shockingly adv 1 vibaya mno. 2 vibaya sana, kabisa.