ship
1 n meli, merikebu, chombo take ~ ingia chomboni merchant ~ meli ya shehena. war ~ n manowari. passenger ~ n meli ya abiria. when my ~ comes home nitakapo-tunukiwa bahati/ nikitaajirika. the ~ of the desert ngamia. on ~-board chomboni/melini; (colloq) chombo cha angani; (US colloq) eropleni. (compounds) ~-breaker n kontrakta anayenunua meli mbovu na kuzibomoa. ~broker n wakala wa meli. ~-builder n muunzi (wa meli). ~ -canal n mfereji (wa kuweza kupitisha) meli. ~'s chandler n mfanyabiashara wa vifaa vya meli. ship-load n shehena/abiria wa kujaza meli. ~ mate n baharia-mwenzi. ~-owner n mwenye meli/tajiri wa meli. ship-shape adj, sawasawa, barabara, taratibu, safi. ~-way n eneo la kuingilia meli baharini. shipwreck n maangamizi ya meli baharini. vi angamiza meli baharini. ~-wright n see ~-builder. ~-yard n kiwanda cha meli. vt,vi 1 sheheni, peleka shehena; (comm) peleka mzigo kwa reli/barabara. ~ off peleka ~ off young men to war peleka vijana vitani. 2 ~-oars toa makasia majini na kuyaweka chomboni. ~ water; ~ a sea jaa maji chomboni 3 ajiri baharia. shipment n upakiaji wa shehena melini; shehena. shipper n msafirishaji shehena. shipping n meli zote za nchi. ~ping agent n wakala wa meli. ~ping-office n ofisi ya wakala wa meli; ofisi ya mabaharia.