shine

vi 1 ng'aa, waka, angaza, mulika, waa; (colloq) ng'arisha (viatu n.k.). n (sing only) rangi ya viatu; mng'ao, uangavu come rain or ~ inyeshe isinyeshe; (fig) lolote liwalo na liwe. shiny adj -liong'arishwa, -a kung'aa.