shift
shift
1 vt,vi 1 ~ something (from/to) hamisha, sogeza, hamia, sogea ~ to somewhere else hamia mahali pengine. ~ one's ground badilisha msimamo/mtazamo. 2 badili, ghairi; (motoring) badilisha gia. 3 ~ for oneself jitegemea. shifty adj -danganyifu, -a hila, -a kigeugeu a ~y customer mteja mwenye kigeugeu. ~ly adv. shiftiness n.shift
2 n 1 zamu, shifti work in ~ fanya kazi kwa zamu. 2 kubadilisha nafasi; mabadiliko. 3 hila, ujanja maarifa (ya kuepa/kupata kitu). make ~ (with something/to do something) jitahidi, tumia maarifa, weza (kwa kila hali/njia). 4 shifti: gauni isiyo na marinda. 5 (gear) ~ n kibadilisha gia, mkono wa gia. shiftless adj -zembe, -vivu, siojimudu.