shell

n 1 (of fruit, nuts etc) kaka, ganda. 2 (of marine animals) kombe, kauri, simbi, koa. go/retire into one's ~ -wa msiri/mkinga; wa na aibu, nyamaza. come out of one's ~ changamka; ondoa aibu. shell-fish n samakigamba, samaki wa magome. 3 gofu,kiunzi, bupuru. 4 mashua yamashindano inayoendeshwa kwa makasia. 5 (US cartridge) risasi, kombora. ~-proof adj -siopenya risasi. shell-shock n kurukwa akili; wehu/kichaa kinachotokana na mshindo wa risasi. vt,vi 1 bambua, ambua, menya. 2 tupa/rusha kombora. 3 ~ out (colloq) gharamia, lipia, lipa.