sheep

n kondoo. separate the ~ from the goats tenga watu wema na wabaya follow like a ~ fuata kama kondoo. cast/make ~'s eyes at kodoa/tumbua macho kimapenzi. a wolf in ~'s clothing chui aliyevaa ngozi ya kondoo. one may/might as well be hanged for a ~ as a lamb kama ni kula nguruwe basi chagua aliyenona. ~ dog n mbwa alindaye na kuchunga kondoo. ~-fold n zizi la kondoo. ~ hook n bakora ya mchunga kondoo. ~ run n (Australia) malishoni. sheepskin n nguo iliyotengenezwa kwa ngozi ya kondoo; ngozi ya kujalidi; ngozi ya kuandikia mswada maalum; (esp US) diploma iliyoandikwa kwenye ngozi hiyo. ~-wash n josho la kondoo. sheepish adj 1 -enye haya. 2 -a kuona aibu, -a woga. sheepishly adv. sheepishness n.