shed
shed
1 n banda (la wanyama), zizi.shed
2 vt 1 ambua, nyumbua a snake ~ its skin nyoka aliambua ngozi yake; pukusa a tree ~ its leaves mti ulipukusa majani yake. ~ (one's) blood jeruhiwa, uawa; mwaga damu. blood ~ n umwagikaji wa damu. ~ tears toa machozi. 2 toa, ondoa, vua. 3 eneza, tawanya ~ some light (fig) toa mwanga.