sheath

n 1 ala, uo. ~ knife n kisu cha ala. 2 kifuko. contraceptive ~ n uo (wa kuzuia mimba), mpira, kondomu. 3 kibana mwili. sheathe vt 1 futika ~ the sword futika upanga. 2 funika, zungushia. sheathing n bomba la metali, mbao n.k. la kufunikia au kubandikiza (nje ya kitu).