shave

vt,vi 1 ~(off) nyoa he does not ~ everyday hanyoi kila siku shaving brush brashi ya kunyolea shaving cream n krimu ya kunyolea shaving soap/stick sabuni ya kunyolea. 2 ~ something off engua. 3 ambaa. a close ~ kuwa karibu, kuponea chupuchupu. 4 ~en pp as adj -lionyolewa well ~n -lionyolewa vizuri. n kunyoa; unyoaji;kuwa karibu he had a narrow ~ aliponea chupuchupu. shaver n 1 (dry ~r) mashine ya kunyolea. 2 (colloq) kijana mdogo. shaveling n (arch) mtu aliyenyolewa; mtawa. shavings n takataka za mbao.