sharp

adj 1 -enye ncha kali, -liochongoka a ~needle sindano yenye ncha kali. 2 wazi, dhahiri. 3 (of slopes, corners, sounds, feelings) kali a ~ corner kona kali a ~ slope mteremko mkali a ~ sound sauti kali a ~ pain maumivu makali ~ words maneno makali. 4 (quick) -epesi kuona, -elekevu, hodari a ~ student mwanafunzi hodari he is as ~ as a needle ana akili sana. ~ shooter n mpiga shabaha hodari (kwa bunduki). 5 (bitter) -chungu, -kali. 6 -danganyifu, -laghai a ~ businessman mfanyabiashara laghai adv 1 kamili at eight o'clock ~ saa mbili kamili. 2 ghafla turn ~ to the left geuka kushoto ghafla. 3 (music) juu (kuliko inayotakiwa). 4 look ~ harakisha; tahadhari. 5 ~ set adj -enye njaa. sharpen vt,vi noa,tia makali, chonga; amsha.sharpener n cherehe; kichongeo. sharply adj. sharpness n. sharper n ayari, mjanja, laghai, danganyifu. card ~er n laghai wa mchezo wa karata.