share

share

1 n 1 fungu, mgawo. go ~s (with somebody) (in something) gawana; kula bia, changa bia (na mtu fulani). 2 hisa. deferred ~ n hisa ya rajua. distributive ~ n hisa mgawanyo. ordinary ~ n hisa ya kawaida. preference ~ n hisa maalum. ~ certificate n hati ya hisa. ~-cropper n mkulima anayekodi shamba la mwinyi (na kutoa fungu la mazao yake kama kodi). ~ holder n mhisa. ~ list n orodha ya hisa. ~ index dira (ya bei za hisa). ~ pusher (colloq) n mchuuza hisa. vt,vi 1 gawa, gawana. ~ something (out) (among/between) toa fungu kwa wengine; gawana. ~ something with somebody gawana; gawia mtu. ~ out n mgao. 2 ~ something (with somebody) shirikiana, shiriki ~ a room with somebody kaa na mtu chumba kimoja ~ in somebody's happiness shiriki katika furaha ya mtu. ~ and ~ alike gawana sawa.

share

2 n ulimi wa plau.