shape

n 1 umbo, sura, tambo, muundo. get/put something into ~ panga kitu vizuri. give ~ to eleza kinaganaga. take ~ in jionyesha, jitokeza. take ~ onekana, pata umbo. 2 knock something into/out of ~ weka kitu katika sura nzuri/ mbaya. 3 hali his business is in good ~ biashara yake iko katika hali nzuri. 4 kivuli, kitu/umbo (lisiloonekana vizuri). 5 kalibu; (of hat) faruma. vt,vi 1 tengeneza, umba, unda; fanyiza. 2 pata umbo, kua, endelea. ~ up well tumainiwa things are shaping up well mambo yanaendelea vizuri. shapeless adj sio na umbo/sura nzuri; sio nzuri. shapelessly adv. shapelessness n. shapely adj -zuri, -enye umbo la kupendeza.