sham

vt,vi jifanya, jigeuza; iga; jisingizia ~ming dead kufa uwongo ~ sickness jisingizia ugonjwa adj -a kuiga, -a uwongo, -bandia ~ fight vita ya kuigiza/mchezo wa vita. n 1 mnafiki, mzandiki, laghai. 2 unafiki.