shake

vt,vi 1 tikisa/tikisika, tetema/ tetemeka; tukuta, tingishika/tingisha. 2 tia shaka, dhoofisha, shtua ~ somebody's confidence katisha tamaa/vunja moyo. 3 (of voice) tetema/tetemeka. 4 (with preps and adverbials) ~ down (sl) tapeli; (colloq) zoea (mazingira mapya); zoeana; pukusa/pukutisha. shakedown n tandiko (la kwenye sakafu). ~ something from/out of something kung'uta kung'uta. ~ somebody off kimbia/kwepa, poteza (mtu anayekufuata). ~ something off ondoa, kung'uta; (fig) pona. ~ out (mil) sambaza, tawanya; tawanyika, sambaa. n kupunguza wafanyakazi. ~ something out tandaza kwa kukung'uta (k.m. kitambaa cha meza). ~ something up changanya kwa kutikisa; rudisha katika hali ya awali (kwa kutikisa). ~ somebody up shtusha mtu; changamsha. shaking n mtikiso, mshtuko. shaker n mtikisaji/mshitushaji; chombo cha kutikisia chumvi, sukari n.k.. n 1 mtikiso, msukosuko, tetemeko. 2 (colloq) muda. in half a ~ sasa/hivi. 3 (pl) no great ~s (sl) siyo nzuri sana he's no great ~s as a driver siyodereva mzuri (yeye dereva mbaya). 4 egg ~; milk ~ n sharubati ya mayai/maziwa. shaky adj 1 -a kutikisika, dhaifu, isoimara. 2 sioaminika, siosalama; tojiweza. shakily adv. shakiness n.