shaft

n 1 wano, mpini (wa mshale, mkuki); (fig) ~s of envy/wit kuonyesha husuda, kijicho. 2 gogo la kufungia punda, farasi n.k., nira. 3 shina. 4 shimo, dohani. mine-~ n shimo la mgodi. ventilation ~ n dohani ya hewa. 5 (tech) mtaimbo propeller ~ mtaimbo endeshi. 6 mwale, mwanzi.