sex

n 1 jinsia; uke/ume male ~ jinsia ya kiume female ~ jinsia ya kike. 2 mapenzi. ~-maniac n mkware. ~-appeal n kuvutia kijinsia. 3 kujamiiana have ~ with jamiiana na. ~ less adj 1 -so na jinsia. 2 (frigid) baridi. ~ starved adj (colloq) kutopata kujamiiana. sexy adj (colloq) -a kuhusu mapenzi; a kuvutia kimapenzi. sexism n ubaguzi jinsia. sexist adj. sexual adj -a jinsia ~ual offences makosa ya kinyumba ~ual pervert asherati, kware. ~ual intercourse n kuingiliana, ngono, kulalana, kujamiiana ~ual passion nyege, ashiki; ngoa ~ual organs (male) sehemu za siri, mboo, uume, dhakari; (female) kuma, uke. sexuality n 1 ujinsia. 2 ashiki.