sew

vi,vt shona. ~ in kaza kwa uzi na sindano. ~ up (something) funga kwa kushona; (colloq) panga, maliza the deal is ~d up mipango imemalizika. sewer n mshoni. sewing n ushoni, mashono. ~ing machine n cherahani. ~ing-press n mashine ya kushonea vitabu.