severe
adj 1 -kali; sio na huruma; -kalifu. 2 (of style) -futo, -a mfuto, bila urembo/pambo. 3 (of weather, disease etc) kali, baya. 4 enye kuhitajia ustadi/uwezo/uvumilivu n.k. severely adv kwa ukali. be ~ly ill -wa mgonjwa mahututi. severity n 1 ukali. 2 uzito, nguvu, ukalifu.