seven

n saba a child of ~ mtoto wa umri wa miaka saba adj saba ~ children watoto saba. sevenfold adj mara saba adv kwa mara saba. seventeen n kumi na saba adj -a kumi na saba. seventeenth adj -a kumi na saba. n kumi na saba. seventh adj -a saba. be in ~th heaven jawa na furaha. seventh-Day adj -a siku ya saba; -a Sabato/Jumamosi. seventhly adv kwa saba. seventieth adj -a sabini n sehemu ya sabini. seventy n sabini adj -a sabini she is ~ty ana miaka sabini. The ~ties n (pl) miaka ya sabini.