settle

settle

1 n benchi ya kukalia, kiti kirefu.

settle

2 vt,vi 1 fanya makazi/ koloni; lowea. 2 fanya makazi/ishi. 3 ~ (on something) tua, tuama the bird ~d on a branch ndege alitua kwenye tawi. 4 (decide) hukumu, kata shauri (neno); amua, maliza that ~s it! tumeafikiana. 5 (adjust) patanisha, suluhisha ~ out of court patana nje ya mahakama. 6 sarifu ~ property sarifu mali. 7 (of dust in the air) tua, shuka; (of a liquid) tuama. 8 (of the ground, foundation) didimia. 9 (with adverbial particles). ~ down pumzika/tulia. ~ (somebody) down tuliza. ~ (down) to something fanya kwa makini. ~down to married life; marry and ~ down ishi maisha ya ndoa. ~for something kubali (kwa shingo upande). ~ (somebody) in saidia mtu kuhamia kwenye nyumba, kazi mpya. ~-in zoea. ~ something on/upon somebody (leg) pa mtu (mali n.k.) kwa ajili ya matumizi. ~ on/upon something chagua. ~ up (with somebody) lipa deni. have an account to ~ with somebody (colloq) -wa na kisa na fulani. settled adj 1 imara, thabiti, -tulivu, makini a ~d country nchi yenye amani; nchi iliyotengamana. 2 liokwisha lipwa. settlement n 1 makazi, mji mpya; ulowezi 2 (inheritance) urithi; usia. 3 (agreement) mapatano, mwafaka, maafikiano, suluhu amicable ~ment mapatano ya hiari. 4 masarifu family ~ment masarifu ya familia marriage ~ment masarifu ya ndoa. settler n mlowezi,