serve

vt,vi 1 tumikia, hudumia. 2 -wa mtumishi wa. ~ on something wa mjumbe wa. ~ under somebody -wa jeshini chini ya. ~ two masters -wa na mabwana wawili. 3 ~ something (to somebody); ~ somebody (with something); ~ something (out) gawa, hudumia dinner is ~d chakula tayari. 4 ~ somebody (for/as something) faa. ~ for faa mahali pa (badala ya) this pen ~ me well kalamu hii inanifaa. ~ somebody's needs/purpose kidhi haja/matakwa yake. as occassion ~s mara ipatikanapo fursa/nafasi. 5 tendea. it serves her right inamstahilia. 6 maliza muda/kipindi (cha kufanya kazi). 7 ~ a sentence; ~ time fungwa; maliza kifungo. 8 ~ a summons/writ/ warrant on somebody (leg) pa samansi/hati za kisheria. 9 (sports) anzisha; pigia mpira. 10 (of animals) panda. 11 saidia, auni. 12 (rel) hudumia Misa. server n 1 (at a table) mwandalizi. 2 (tennis, volleyball etc) mwanzisha mchezo. 3 msaidizi kanisani. 4 trei ya vyombo. 5 vyombo vya chakula. serving n kiasi cha chakula apewacho mtu.