serious

adj 1 -zito, -siocheka. 2 -a maana -kubwa a ~ offence kosa kubwa. 3 -a kweli, -a kufikiria, -a dhati; makini are you ~? unasema kweli? 4 (of illness) -a hatari a ~ illness ugonjwa wa hatari. 5 (of patient) -enye hali mbaya, mahututi. seriously adv. seriousness n. in all ~ness bila utani, kwa uzito kabisa.