series

n mfuatano, mwandamano, mfululizo safu. serial adj -a sehemu ya; -a mfululizo (wa maandishi) serial writer mwandishi anayeandika mfululizo. n 1 maandiko/matangazo ya kufululiza. serially adv. serialize vt chapisha kwa sehemu/mfululizo. seriated adj -liopangwa katika mfululizo (kwa sehemu zinazofuatana). seriatim adv mfululizo, kwenda sanjari, mojamoja, hatua kwa hatua, kaifa kwa kaifa.