sequence

n mwandamano, mfuatano, utaratibu, mfululizo. ~ of tenses mfutano wa nyakati (katika vishazi) na kitenzi cha wakati. sequent adj (formal) -a kufuata, -a kuandama, -a kutokea; -a kutokana na. sequential adj -a kutokana na; -a kufuatana kwa wakati na mahala.