sequel

n 1 matokeo; mfuatano. in the ~ baadaye, hatimaye. 2 mambo/ matukio ya baadaye (katika hadithi, yakihusiana na matukio ya awali).