sepulchre

n kaburi, (lililochongwa katika mwamba/lililotengenezwa kwa mawe). The Holy ~ n Kaburi la Yesu Kristo. whited ~ n mnafiki, mzandiki. sepulchral adj 1 -a kaburi (la mawe), -a mazishi. 2 -a huzuni kubwa, -a kuashiria mazishi.