septic

adj -lioambukizwa; -a kuoza ~ poisoning kuoza kwa kidonda kutokana na bakteria. ~ tank n tangi la maji machafu. sepsis n kuambukiza sumu ya kidonda kwenye damu. septicemia n sumu katika damu.