sentry

n askari wa zamu, gadi, mlinzi, mshika doria. sentry-box n kibanda cha mlinzi. sentry-go n wajibu wa mlinzi kutembea mbele na nyuma akilinda.