sentiment

n 1 mawazo, maono. 2 hisia za moyoni, pendo. 3 maoni, shauku national ~s maoni/hisia za taifa. sentimental adj 1 -epesi kuvutwa na upendo (huruma, ashiki), -a hisi za moyoni. 2 (of things) -a kuamsha/kuchochea hisi. sentimentally adv. sentimentalism n 1 wepesi wa kuathiriwa na hisi za moyo. 2 kujitungia mawazo moyoni. sentimentalist n mtu mwepesi kuathiriwa na hisi. sentimentalize vt,vi athiri na hisi za moyoni. sentimentality n hali ya kuwa na/kuingiliwa na hisi vibaya.