sentence

n 1 sentensi ~ drill jedwali (la mazoezi ya sentensi) ~ patterns sulubu/ruwaza za sentensi. 2 hukumu, fetwa. pass/pronounce ~ toa hukumu. 3 (arch) shauri, maoni. vt hukumu, toa hukumu he was ~d to death alihukumiwa kifo/ kunyongwa.