sense
n 1 (perception) hisi, fasili ya dhana akilini. ~-organ n mlango wa hisi/fahamu the ~ of smell, hearing, taste etc. kunusa, kusikia, kuonja n.k. pleasure of the ~s anasa za mwili. 2 akili; busara a man of good ~ mtu mwenye busara/akili nyingi be out of ones ~s; lose one ~s potewa na akili, rukwa na akili, fadhaika; (faint) zimia, zirai. bring somebody to her ~s fanya mtu aache kufanya mabaya. come to one's ~s jirudi, acha kufanya upumbavu recover one's ~s jirudia, pata akili/fahamu tena. have you taken leave of your ~s una kichaa? 3 (a/the) ~ (of) kuthamini, kufahamu, kujua, kupambanua he has moral ~ anapambanua mema na mabaya. 4 maana. in a ~ kwa namna fulani. in the ~ of kwa maana ya kwamba it has a bad ~ ina maana mbaya in the legal ~ kisheria. the figurative ~ -a tamathali. make ~ fanya/leta maana, eleweka. make ~ of something elewa maana. talk ~ sema yenye maana. 5 maoni ya watu wengi. vt hisi; tambua; fahamu, elewa. senseless adj 1 pumbavu, -so akili; -sio na sababu. 2 -liozimia, -liozirai he fell~ less alizimia become ~less zimia, zirai knock somebody ~less piga mtu mpaka azirai. senselessly adv. senselessness n upumbavu, upuuzi. sensibility n wepesi wa kuhisi. sensible adj 1 -a akili, tendaji, -a busara/hekima. 2 sensible of (arch.) -tambuzi. 3 (arch.) -a kuhisika. sensibly adv.