sensation

n 1 maono, hisi. kioja, shani; mhemko. sensational adj -a kushtua, -a ajabu. sensational adj (of news papers) -a vioja, -a mihemko. sensationalism n 1 nadharia (ya kifalsafa) isemayo kuwa dhana zote zatokana na michomo ya hisi. 2 utumiaji/uchokozaji wa mihemko. sensationalist n mpiga chuku.