senior

adj 1 -kubwa (kwa umri, daraja, cheo). ~ citizen n mzee; mstaafu. 2 andamizi ~ magistrate hakimu mwandamizi ~ research fellow mchunguzi mwandamizi. 3 (after a person's name) -a kwanza, -a kutangulia. n 1 mkubwa he is my ~ ni mkubwa wangu. 2 (US) mwanafunzi wa mwaka wa 3/4 (katika sekondari au chuo). seniority n 1 ukubwa (wa umri, cheo); ukuu. 2 kutangulia.