sell

vt,vi ~ something (to somebody); ~ somebody something 1 uza; uzia. ~ something off (of stock of goods) uza rahisi. ~ something out uza sehemu au hisa zote; uza mali/vitu vyote. ~ (somebody) out (colloq) saliti. ~ out n kuuza tikiti zote; (colloq) usaliti. 2 (of goods) uzika. ~ing price n bei ya kuuzia/uzika His new book is ~ing well kitabu chake kipya kinauzika vizuri. 3 (fig. uses) ~ the pass (prov.) uza nchi; wa msaliti. 4 (usu. pass) danganya, tapeli. 5 be sold on something (colloq) tekwa bakunja, kubali. n (colloq) hila, ulaghai, ghiliba. hard/soft ~ n mbinu kali/hafifu za kuuza. seller n 1 mwuzaji. a ~ers' market n (comm) wakati wa uhaba wa bidhaa. 2 bidhaa.