select

vt chagua, teua adj -liochaguliwa, -teule. ~ committee n Kamati ya Wabunge waliocha-guliwa kufanya kazi rasmi. ~ man n (US) diwani. selector n mchaguzi, mteuzi. selection n 1 uchaguzi, uteuzi. natural ~ion n (nadharia ya Darwin ya) uteuzi asilia. 2 vitu teule. selective adj -chaguzi; -enye uwezo wa kuchagua, teule. selectivity n 1 uteuzi. 2 (esp, of radio) uwezo wa kupata idhaa za redio mbalimbali (bila tatizo). selectively adv.