segment

n 1 mkato, sehemu. 2 kipande, pingili a ~ of an orange kipande cha chungwa. a ~ of sugar cane pingili ya muwa. 3 (tech) kitengwa. vt,vi gawa katika sehemu. ~al; ~ary adj -a pingili; -a sehemu, -a kipande. segmentation n ugawaji katika pingili.