seem

vi onekana; elekea kuwa; -wa kama, fanana na you ~ (to be) unwell unaonekana mgonjwa I don't ~ to fancy that sielekei kupendelea hayo. seeming adj -a kujifanya; -a uwongo; -a juujuu. seemingly adv inavyoonekana kwa nje. seemly adj (formal) 1 sahihi, -a kufaa, it is not ~ly haifai. 2 -a heshima/adabu. seemliness n.