see

see

1 vi,vt 1 ona. ~ing is believing kuona ni kuamini. be ~ing things ota (ndoto). 2 ona. ~ the back of somebody ondokana na, ona kwa mara ya mwisho. ~ the last of somebody/something achana na; malizana na. ~ the sights tembelea/zuru mandhari/sehemu maarufu. ~ stars ona maluwiluwi. ~ visions agua. ~ one's way (clear) to doing something elewa namna ya kufanya jambo; jisikia. 3 (imper) tazama! angalia! 4 (not in the progressive tenses) elewa, tambua. I don't ~ why sielewi/ sioni kwa nini. ~ for oneself jionea mwenyewe. not ~ the use/good of doing something -toona umuhimu. you ~ unajua; kama ujuavyo. ~ing that kwa kuwa, madhali, maadam. 5 pata habari (kutoka gazetini n.k.). 6 pitia (katika maisha), ona he'll never ~ forty again ameshavuka miaka arobaini. have ~n the day/time when enzi zake. it has ~n better days wakati wake umepita. ~ somebody damned/ in hell first -tokubali kitu, kamua. 7 onana na. Be ~ ing you/S ~you soon (colloq) kwa heri ya kuonana. 8 acha (bila kusaidia). 9 angalia, hakikisha. ~ that the door is locked uhakikishe kwamba mlango umefungwa. 10 jiona, jifikiria. 11 (with adv particles and preps) ~ about something shughulikia. ~ somebody about something ona, pata ushauri. ~ somebody across something elekeza/ongoza/saidia kuvuka. ~ (somebody) around (something) tembeza, onyesha. ~ you around (sl) tutaonana. ~ somebody back/home sindikiza. ~ (somebody) off aga, pa mkono wa buriani; sindikiza. ~ somebody off something toa. ~ somebody out toa, sindikiza. ~ something out endelea hadi mwisho. ~ somebody over/around something tembeza, onyesha. ~ to shughulikia. ~ through somebody/something ng'amua, baini, -todanganywa. ~ through adj -enye kuonyesha/kuona/ onyeshi. ~ somebody through (something) auni. ~ something through piga moyo konde, shikilia; endelea hadi mwisho. seer n mtabiri, mwaguzi.

see

2 n jimbo la askofu, dayosisi.