secure

adj 1 salama, pasi hofu. 2 -a hakika, -a kudumu. 3 ~ (against/from) salama. 4 thabiti; yakini. vt 1 ~ something (against, from) tunza, linda, hifadhi. 2 (fasten) funga, kaza. 3 pata, (ji)patia. 4 n (leg) dhamini. ~creditor n mwia mwenye dhamana. ~debt n deni lenye dhamana. securable adj.securely adv. security n usalama. Security Council n Baraza la Usalama. Security forces/police n askari polisi/wa usalama. security risk n mtu wa hatari. 2 amana, rehani, dhamana. 3 (bond) hati, sharti.