secular

adj 1 -a kilimwengu; -a kidunia ~ education elimu isiyoendeshwa na dini (agh shule za serikali). 2 -a nje ya nyumba ya utawa the ~ clergy mapadre (wasio watawa). secularism n maoni kwamba dini isiwe msingi wa elimu na maadili. secularist n 1 mpinga dini. 2 mfuasi wa malimwengu (mlimwengu). secularize vt fanya -a kilimwengu; ondoa kwenye dini. secularization n 1 kufanya -a ulimwengu. 2 kuondoa kwenye dini.