sect

n 1 madhehebu. 2 kikundi. ~ arian adj -a kikundi; -a madhehebu n mtu wa madhehebu (kikundi) (agh mtu mwenye mtazamo/mawazo finyu); mlokoke wa madhehebu fulani. ~ arianism n ufuasi wa madhehebu (au kikundi).