secret

adj 1 -a siri; -a faragha, -liofichwa ~ ballot kura ya siri. the ~ service n idara ya ujasusi/ usalama. ~ agent n jasusi/afisa usalama. 2 (of places) tulivu, kimya, fichika. 3 (of persons) siri. n 1 siri, jambo la siri in ~ kwa siri, faraghani. keep a ~ weka/ tunza siri official ~s siri za serikali. in the ~ kati ya wasiri. let somebody into the ~ ambia mtu siri. (be) an open ~ siri iliyofichuka. 2 usiri. 3 mwujiza, ajabu. the ~s of science miujiza/maajabu ya sayansi. secretly adv. secrecy n usiri, ufichaji, uwezo wa/tabia ya kuweka siri swear/bind somebody to secrecy fanya mtu aahidi kuweka siri, apisha mtu (kuweka siri). secrete vt 1 ficha, setiri. 2 nya, toa, nyunyiza. secretion n utoaji, unyaji; utemaji; mnyunyizo; kuficha kuficha, kusetiri. ~ ive adj -siri, -fichaficha. a ~ive person (mtu) msiri. secretively adv. secretiveness n.