second

1 adj (abbr 2nd) -pili ~ child mtoto wa pili. second-best adj -a pili kwa ubora. n,adv come off ~ best shindwa, zidiwa. ~ class adj -a daraja la pili; hafifu, duni. n daraja la pili adv kwa daraja la pili. second-floor n ghorofa ya pili; (GB) ghorofa mbili/(US) ghorofa moja kutoka chini. ~ -hand n -liokwishatumika. ~hand bookshop n duka la vitabu vilivyokwisha tumika. second-hand clothes n mitumba; (of news, knowledge) -liopatikana kwa kupitia wengine, -sio mpya. ~ lieutenant n luteni usu. secondrater n mtu wa akili/ uwezo mdogo. ~-sight n utabiri, uaguzi. ~ teeth n meno ya utu uzima. ~ to none bora kabisa. 2 -a ziada, zaidi. 3 ~ advent/coming n Ujio wa Pili (wa Yesu Kristu). ~ ballot n mtindo wa kuwapigia kura washindi wawili endapo wa kwanza anashindwa kufikia nusu ya kura zinazohitajika. ~ nature n desturi, silika. ~ thoughts n kubadili mawazo (baada ya kufikiria upya). 4 -a kufuata, -a baadaye. ~ childhood n uzee unaoandamana na upungufu wa akili. play ~ fiddle (to somebody) -wa chini ya (mtu fulani). secondly adv baadaye; pili; zaidi; tena. n 1 kitu cha pili the ~ of June tarehe mbili Juni. get a ~ pata daraja la pili. 2 mwingine, kingine. 3 (pl) bidhaa hafifu/duni. 4 (pl) nyongeza ya chakula. 5 msaidizi (katika ndondi n.k.). vt 1 saidia, unga mkono. seconder n mwunga mkono azimio. secondment n kuzima/kuazimwa. secondary adj 1-a kufuata, -a baadaye, -a pili. ~ary education n elimu ya sekondari/upili. 2 -a naibu, wakilishi. secondarily adv.