seat

n 1 kikalio (benchi, kigoda, kiti n.k.) the back ~ of the car kiti cha nyuma cha gari. keep one's ~ endelea kukaa (kitini). take a ~ keti, kaa kitako. take one's ~ kaa mahali pako. ~ belt n mkanda wa usalama wa kiti (agh. katika ndege, gari). 2 makalio, kitako. 3 matako. 4 nafasi. take one's ~ ingia Bungeni. win/lose one's ~ shinda/ shindwa katika uchaguzi wa Bunge. 5 makao, makazi; mkao. 6 (country) ~ jumba kubwa la mashambani. 7 mkao, ukaaji (hasa juu ya farasi). vt 1 ~ oneself; be ~ed! (formal) kaa/kaeni. 2 -wa na nafasi ya watu kukaa. ~ ing-room n sebule. 3 (usu re ~) tengeneza kitako/makalio (agh. ya kiti, suruali).