season

n 1 majira, msimu; muhula, kipindi. wet/rain y~ n masika, kusi dry ~ n kiangazi, kaskazi. cold ~ n kipupwe. the ~ pembe za mwaka. closed ~ n msimuusio ruhusu (agh. uwindaji). it is in ~ ni muhula wake/kipindi chake. in ( ~ ) and out of ~ nyakati zote. the ~'s greetings salamu za krismasi na mwaka mpya. in /out of ~ (of goods) a msimu/-sio msimu wake; -a msimu wa likizo, utalii/-sio na watalii. a word in ~ ushauri wakati unaofaa. ~ (-ticket) n tiketi ya msimu; tiketi ya kuingia katika sehemu za burudani kwa kipindi maalum. vt,vi 1 zoea; zoeshwa. 2 ~ (with) unga, koleza. 3 (lit) punguza makali. seasoning n viungo. ~nable adj 1 (of the weather) -a wakati wake, -a majira. 2 (of help, gift, advice) -a wakati unaofaa. seasonal adj -a majira, -a msimu, -a muhula. seasonally adv.